Mitindo
Picha: Red Carpet ya Emmy Awards2017
Msimu wa 69 wa ugawaji tuzo za filamu za Emmy2017, zimehitimishwa usiku wa jana katika ukumbi wa Microsoft Theater mjini Los Angeles nchini Marekani. Sherehe hiyo iliudhuriwa na mastaa mbalimbali wa filamu na hivi ndivyo walivyotokelezea katika (Red Carpet).
Tracee Ellis Ros