Burudani

Picha: Tamasha la ‘Mchizi Wangu’ la EFM lafana Dar

Kituo cha redio cha Efm cha jijini Dar es Salaam kiliadhimisha tamasha kubwa la Mchizi Wangu lililofanyika siku ya wapendanao, Jumapili ya Feb 14.

2
Rais wa Singeli Suleiman Jabir a.k.a Msaga Sumu akitumbuiza mashabaki waliofika kwenye tamasha la Mchizi Wangu

Tamasha hilo lililofanyika kwenye viwanja Posta Kijitonyama, lilisheheni wasanii kibao wanaotamba kwa muziki wa uswazi, wakiongozwa na Msaga Sumu na Skide mtoto wa mama Shante.

Hizi ni picha zaidi:

1
Umati wa watu uliosheheni katika tamasha la mchizi wangu

3
Amsha amsha kutoka kwa baadhi ya mashabiki wakionyesha nyuso za furaha wakati wakipata burudani

4
Vijimambo vingine vilivyotokea katika tamasha hilo

5
7

6

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents