Burudani

Picha: Tyga aopoa mrembo mpya kuziba nafasi ya Kylie Jenner

Tyga amevuta mrembo mwingine baada ya kuachana na mpenzi wake, Kylie Jenner mapema mwezi huu.


Tyga akiwa na Jordan Ozuna katika mitaa ya mji wa Los Angeles

Rapper huyo ameonekana akiwa na mrembo huyo anayefahamika kama Jordan Ozuna, katika mgahawa wa Serafina Sunset, uliopo mjini Los Angeles, Marekani.

Hata hivyo, Ozuna amesema hana mahusiano yoyote na rapper huyo zaidi ya urafiki wa kawaida uliopo kati yao. Mrembo huyo pia aliwahi kuwa na mahusiano na Justin Bieber mwaka 2014.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents