Tragedy

Picha: Wasani watembelea hospitali kuu ya mkoa wa Mara kutoa misaada kwa wahanga wa ajali

Wasanii wa muziki wakishirikiana na watu wengine wanaohusika na Serengeti Fiesta 2014, jana walitumia muda wao kwenda katika hopitali kuu ya mkoa wa Mara iliyopo mjini Musoma na kutoa misaada mbalimbali kwa wahanga wa ajali ya mabasi mawili iliyotokea Ijumaa hii mkoani humo na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 35 na kujeruhi wengine.

Shilole akikabidhi baadhi ya vifaa kwa mganga mkuu wa hospitali hiyo
Shilole akikabidhi baadhi ya vifaa kwa mganga mkuu wa hospitali hiyo

Mganga mkuu wa hospitali hiyo akitoa ufafanuzi kwa wasanii
Mganga mkuu wa hospitali hiyo akitoa ufafanuzi kwa wasanii

Wasanii wakisikiliza kwa makini taarifa kutoka kwa mganga mkuu
Wasanii wakisikiliza kwa makini taarifa kutoka kwa mganga mkuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents