Burudani

Picha/Video: Nay wa Mitego aonesha ‘baadhi’ ya mali zake zenye thamani ya zaidi ya milioni 200

Rapper kutoka Manzese Nay wa Mitego ameamua kuonesha mali anazomiliki ikiwemo nyumba yake mpya pamoja na gari zenye thamani ya zaidi shilingi milioni 200.

Siwema akilia kwa uchungu baada ya kuona nyumba mpya ya mume wake
Siwema akilia kwa uchungu baada ya kuona nyumba mpya ya mume wake

Akizungumza na Bongo5 jana akiwa nyumbani kwake Kimara Korogwe, Nay amesema imefikwa wakati wa kuonyesha baadhi ya mali zake anazomiliki. “Gari yangu mpya Nissan Murano nimenunua milioni 36, ni gari ambayo naipenda sana ,dream car yangu kwenye maisha yangu ni Murano , ninaweza nikabadilisha nikawa na gari nyingine, pia mimi napenda nyumba nzuri ,napenda kuishi kwenye nyumba nzuri, nina nyumba tatu, hii hapa ambayo nahamia kesho ina thamani ya shilingi milioni 170 kila kitu, lakini inaweza ikawa zaidi ya milioni 170 kwasababu kuna vitu vingine huwa sivipigii hesabu,” alisema.

Nay wakiwa nje ya nyumba yake
Nay akiwa nje ya nyumba yake

Nymba mpya ya Nay kwa ndani
Nyumba mpya ya Nay kwa ndani

Mpenzi wa Nay, Siwema akishangaa nyumba ya Nay
IMG_0061

IMG_0064

IMG_0444

IMG_0714

IMG_0715

IMG_0721

IMG_0724

IMG_0726

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents