BurudaniDiamond Platnumz

Princess Tiffah afikisha followers milioni 1 Instagram

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

14553305_1164945786935257_4910847618923364352_n

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.

14592076_1249625691767348_5538953587729629184_n

Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip ???? THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS????.

Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents