Burudani

Producer mpya wa kike kwenye Bongo Fleva, Geline aja na studio ya muziki ‘Fukoz Record’ (Video)

Mtandao wa Bongo5 Ijumaa hii ulimtembelea producer mpya wa kike ‘Geline’ kutoka studio za Fukoz Record Mikocheni jijini Dar es salaam ambapo alifunguka mambo mengi kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents