Habari

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)

Rais Dkt John Magufuli amemteua Dkt Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Andrew Masawe aliyemaliza muda wake.

Dkt Msengwa ni Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Takwimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents