Siasa
Rais Magufuli kurudisha fomu ya kugombea Urais leo Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo Juni 30, 2020 atarudisha fomu ya kugombea nafasi ya urais kupitia chama chake cha CCM katika Ofisi ya CCM- White House hapa Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=Ge5QDFziDIo