Uteuzi: Jaffar Haniu arithi nafasi ya Msigwa Mawasiliano ya Rais Ikulu

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw.Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Kabla ya uteuzi huo Bw. Haniu alikuwa Mkuu wa Vyombo vya Habari vya African Media Group Limited.

Bw. Haniu anachukua nafasi ya Bw. Gerson Msigwa ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali.

Related Articles

Back to top button