Rais Samia Suluhu: Mna kazi kubwa ya kurudisha mahusiano na mataifa ya nje (+ Video)

Mna kazi kubwa ya kurudisha mahusiano na mataifa ya nje, Waziri wewe ni hodari sana kwenye hili, wanakusikiliza sana umeshafanya nao kazi sana, kuna msemo unasema ukitaka kufika haraka nenda peke yako ukitaka kufika mbali nenda na wenzako’

“Napokea taarifa kutoka kwa wasaidizi wangu wafanyabiashara wanataka kuniona ili kujihakikishia kama watafanyakazi zao kwa utulivu, naomba tuache ubabe ili wawekezaji waje tuna uhitaji sana na wawekezaji,

“Upande wa Ardhi, watu wameporwa sana ardhi zao na wanaohusika kwenye uporaji ni watendaji wa taasisi wanahusika kutengenezea wezi nyaraka feki, acheni mara moja naomba hili likafanyiwe kazi”

Related Articles

Back to top button