Burudani

Ratiba ya mabingwa Ulaya yatoka, Man City kuchuana na Barcelona, Chelsea na PSG

Ratiba ya ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya mtoano imetolewa ambapo vigogo 16 wa soka watachuana kuwania ubigwa wa bara hilo.

West-Bromwich-Albion-v-Manchester-City-Premier-League

Mabigwa wa ligi ya Uingereza, Manchester City, watakua na kibarua kizito kuwakabili Barcelona nao Chelsea watakipiga na miamba wa soka Ufaransa – Paris St-Germain na Arsenal watakabilina Monaco.

Shakhtar Donetsk na Bayern Munich

Schalke na Real Madrid

Juventus na Borussia Dortmund

Bayer Leverkusen na Atletico Madrid

Basel na FC Porto

Mechi za raundi ya mtoano ya timu 16 bora zitachezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini kuanzia Februari 17 mwaka 2015 na washindi wa kila kundi wataanza kukipiga nyumbani kabla ya kuelekea ugenini.

Source:BBC

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents