Burudani

Ripoti: Nyimbo za zamani zinauzika zaidi kuliko mpya

Katika hali ya kushangaza imebainika kuwa nyimbo za zamani zinauza zaidi kuliko zile mpya zinazotoka.

image

Kampuni ya Nielsen Music ya Marekani, imeripoti kuwa nyimbo milioni 123 (zenye zaidi ya miezi 18) ziliuzwa mwaka jana, ukilinganisha na milioni 119 mpya.

Tabia hiyo ni sawa pia kwenye manunuzi ya nyimbo mtandaoni: Nyimbo milioni 485 za zamani ziliuzwa ukilinganisha na milioni 480 mpya.

Ni muongo mmoja tu uliopita, album mpya ziliuza zaidi kuzizidi za zamani kwa zaidi ya kazi milioni 150.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents