Michezo
Simba SC imeomba mechi zake za Ligi kuu zichezwe uwanja wa taifa badala ya uhuru
Klabu ya Simba SC imeomba mechi zake za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wachee katika Uwanja wa Taifa kutoka wa Uhuru, Dar es Salaam ili kuwalinda wachezaji wake na maumivu.
Hii hapa ni barua iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Simba kwenda TPLB