BurudaniUncategorized

Steve Nyerere: Sijaumia kwa namna yoyote kwenye uteuzi wa Mhe Jokate (Video)

Msanii wa filamu, Steve Nyerere amedai hana tatizo na uteuzi wa Mhe. Jokate wala Jerry Murro kwa kuwa ni wawakilishi wa vijana ndani ya serikali ya Rais Magufuli. Katika hatua nyingine amedai ataenda kushuhudia namna Jokate anavyoapishwa kama akialikwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents