Burudani

Super Soul Sunday: Mambo saba kuhusu Uwezo

Nimerejea kwa mara nyingine tena, kazi yangu kila Jumapili ni kukuletea nukuu saba kutoka kwa watu ambao wamefanya mambo makubwa au ya kipekee katika ulimwengu huu. Leo ningependa kukuletea hizi nukuu kwa ajili kukujengea uwezo (ability) ili kufikia malengo yako.

  1. Kwa wastani au uwezo wa chini kabisa, ila bado mafanikio yanawezekana- Jacob Geit Dekker.
  2. Uwezo ni jambo dogo pasikuwa na fursa – Napoleon Bonaparte.
  3. Pekee yetu tunaweza kufanya kiasi, ila kwa pamoja tunaweza kufanya zaidi – Lowell Thomas.
  4. Usiruhusu kile usichoweza kufanya kuingilia kile unachoweza kufanya – John Wooden.
  5. Kila mtu ana kipaji – Erica Jong.
  6. Hakuna kisichowezekana katika moyo wenye nia ya dhati – John Heywood.

  7. Matamanio hutengeneza nguvu – Raymond Hollingwell.

Shukrani, dondosha comment yako hapo chini kuelezea ni nukuu ipi imekubamba zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents