Picha

Suruali Za Kanye West Zanusuru kumdondoka

Wikiendi hii iliyopita imeona wapenzi tofauti wakitoka kushiriki matukio tofauti na wenza wao, na wakiwemo humo ni Kanye West na Mamsap Kim Kardashian.

Katika utofauti kidogo, wawili hao waliposhuka kwenye ndinga yao na kuelekea kuingia kutafuta msosi kwenye restaurant huko New York, Kanye West aipata hitilafu kidogo na Swagga pale ambapo suruali zilitaka kumshuka kisa mlegezo ulizidi.

Kim na Kanye waliendelea na shughuli zao ingawa mzee alikua kapata tatizo hilo, na kesho yake Kim alionekana kutoka kwa Kanye asubuhi akiwa amevaa nguo hizo hizo za usiku uliopita!!

Ina maana Mamaa bado hajafanikiwa kuweka nguo za kubadilisha kwa mzee. Du!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents