Michezo

Tanzania yapanda nafasi 7 kwenye viwango vya FIFA, yakamata nafasi ya 109

Habari njema kwa mashabiki wa soka nchini. Kwa mujibu wa viwango vya soka vya duniani vilivyotolewa leo na shirikisho la soka duniani, FIFA, Tanzania imepanda kwa nafasi 7 na kukamata nafasi ya 109.

page

Mambo si mazuri kwa Kenya ambao wameshuka kwa nafasi moja na kukamata nafasi ya 123 huku Uganda ikikamata nafasi ya 93 baada ya kushuka kwa nafasi mbili.

Kwa upande wa nafasi za juu, nafasi za tatu zinaendelewa kushikiliwa na Ujerumani (1), Argentina (2) na Croatia (3).

Nafasi ya mwisho (207) imekamatwa na visiwa vya Turks na Caicos.

Ingia HAPA kusoma zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents