Burudani
Tude aja na Bongo Kwai
Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya TudeĀ Thomasi maarufu kama Tude, amesema anatarajia kuitambulisha staili mya ya uimbaji katika fani ya muziki.
Alisema staili hiyo ni mwendelezo wa staili ile iliyoibuka kwa kasi na kutamba kwa wengi ya Kiduku.
Alisema kwa yeye anaibolesha zaidi na kuipa jina la Bongo Kwai, kwa sababu ya mchanganyiko wa staili ya Hpouse, Tag ambayo ipo kama Kranka, Mdundiko na Kwaito.