Michezo

USM Alger yatwaa ubingwa wa Algeria (+Picha)

Timu ya vijana waliyo na umri chini ya miaka 19 (U19) ya USM Alger imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Algeria baada ya kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 4 – 3 dhidi ya klabu ya ES Setif.

Kwenye mchezo huo wa fainali timu ya USM Alger imeibuka na ushindi huo mbele ya timu ya ES Setif baada ya kumalizika dakika 90 kwa sare ya bao 1 -1 na ndipo kuamuliwa kwa njia ya matuta.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents