Michezo

Video: Bocco na Okwi hati hati kuikabili Al-Masry – Pierre Lechantre

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Pierre Lechantre amekataa kuzunguzia uwepo wa washambuliaji wake hatari katika mchezo wao wa kesho watakapo ikabili timu ya Al- Masry inayotoka nchini Misri katika mchezo wa kombe la Sgiriko Barani Afrika.

John Bocco na Emmanuel Okwi  wamekuwa nje ya uwanja kwa muda sasa baada ya kusumbuliwa na majeraha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents