Burudani
Video: Nimechora Tatoo ya jina Tunda kuonyesha jinsi ninavyompenda – Casto
Mtangazaji wa kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Casto Dickson amefunguka kuizungumzia tatoo yake mpya aliyochora ya jina la mpenzi wake Tunda. Casto amedai alitumia dakika 10 kuamua achore tatoo hiyo na hawezi juta kwa kuwa ameutendea haki moyo wake.