Bongo Movie

Video: Sarah wa Harmonize ana matatizo kisaikolojia, anahitaji msaada – Wolper

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper amekanusha tetesi alizozitoa mpenzi wa Harmonize, Sarah kwamba anamsumbua mpenzi wake, Harmonize. Muigizaji huyo ameyasema hayo Jumanne hii wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya kampeni ya yao mpya ya Amka Kijana wa Iringa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents