Tragedy

Video: Tazama jinsi magaidi yalivyoivamia hoteli ya kitalii nchini Tunisia na kuua watu 38

Takriban watu 38 wengi wao wakiwa watalii kutoka nchini Uingereza wameuawa jana baada ya magaidi wenye silaha kuivamia hoteli ya kitalii ya Imperial Marhaba iliyopo kwenye mji wa kitalii wa Sousse.

2A010DFE00000578-3140454-image-a-71_1435330788129
Miili ya watalii waliouawa ikiwa imefunikwa mataulo

Idadi ya watu waliopoteza maisha inatarajiwa kuongezeka zaidi.

2A02B79C00000578-3140454-image-a-58_1435362268334
Watalii walionusurika wakipeana pole

Kundi la kigaidi na ISIS linadaiwa kuhusika na kumtaja Abu Yahya Qayrawani kuwa ndiye muuaji ambaye hata hivyo naye aliuwa na vikosi vya ulinzi vya Tunisia.

2A0172A500000578-3140454-image-a-13_1435339437560

Chini ni video iliyorekodiwa kwa simu ikionesha tukio hilo.

2A01617000000578-3140454-image-a-25_1435341858496

Chanzo: Daily Mail

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents