”Tuna wachezaji 14 wakigeni, wanatakiwa wawe 12, tutamrudisha Chiko Ushindi TP Mazembe na Yacouba Sonye tutazungumza naye. Wazawa tunao 17 wengine waliomaliza mikataba yao tayari tulishawaweka kwenye mitandao ya Klabu akiwemo Boxer, Deus Kaseke.”- Haji Manara