Bongo Movie

Video/Picha: Mzee Small azikwa kwenye makaburi ya Tabata jijini Dar

Msanii maarufu wa maigizo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ aliyofariki juzi usiku (juni 7) akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili amezikwa leo katika makaburi ya Tabata jijini Dar es salaam.
Mwili wa marehemu Small ukishushwa kwenye kaburi
Mwili wa marehemu Small ukishushwa kwenye kaburi

Wasanii ,viongozi pamoja na wadau mbalimbali wa filamu nchini walihudhuria mazishi hayo.Tazama picha na video

Msafara wa kwenda kumzika Mzee Small
Msafara wa kwenda kumzika Mzee Small

Wadau wakiwa wamejitokeza kumzika mzee wao
Wadau wakiwa wamejitokeza kumzika mzee wao

Wadu wakisoma dua wakati wameubeba mwili wa marehemu
Wadau wakisoma dua wakati wameubeba mwili wa marehemu

Wadau wakisawazisha kaburi
Wadau wakisawazisha kaburi

Kaburi la Mzee Majuto
Kaburi la Mzee Small

Ngugu wa marehemu akilia kwa uchungu
Ndugu wa marehemu akilia kwa uchungu

Ahmed Olotu aka Mzee Chilo
Ahmed Olotu aka Mzee Chilo

Ray akiwa kwenye mazishi
Ray akiwa kwenye mazishi

Tini
Tini

Hashim Kambi
Hashim Kambi

Masanja akiwa na rafiki zake
Masanja akiwa na rafiki zake

Msanii Richie
Msanii Richie

Mume wa marehemu Rachel Haule wa pili kushoto akiwa na wadau wengine wa filamu
Mume wa marehemu Rachel Haule wa pili kushoto akiwa na wadau wengine wa filamu

Mwakilishi kutoka Basata
Mwakilishi kutoka Basata

Mzee Jengua
Mzee Jengua

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Saimon Mwakifamba
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Saimon Mwakifamba

IMG_1913

IMG_1917

IMG_1920

IMG_1922

IMG_1924

IMG_1925

IMG_1928

IMG_1929

IMG_1931

IMG_1933

IMG_1934

IMG_1935

IMG_1937

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents