Michezo

Wanajiuliza nitaingiaje ndani ya Dimba la Mkapa – Harmonize (+Video)

Kuelekea siku ya Wananchi ambayo Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara Yangasc wanaitumia kama Tamasha la kuwatambulisha wachezaji wao wapya waliosajiliwa msimu huo. Msaani wa Muziki nchini Harmonize ambaye atakuwepo siku hiyo kwaajili ya kutoa burudani amedokeza kuwa kumekuwa na maswali mengi kuwa Harmonize ataingiaje katika Dimba la Mkapa siku hiyo ya Wananchi. Harmonize ameyasema hayo wakati akitambulisha ujio wa chupa mpya ya Sayona ambayo ina picha yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents