Burudani
Wasafi waanzisha ligi ya mpira Kivumbi Cup “Sisi sehemu ya wembe tunaweka panga” (Video)
Mkurugenzi wa Wasafi, Mkubwa Fella amesema “Mashindano yatafanyika viwanja vya Bandari Temeke, na timu 32 zitashiriki, Wasafi tunataka kuonyesha maajabu, mshindi wa kwanza atachukua tsh milioni 20, mshindi wa pili tsh milioni 10, na mshindi wa tatu tsh milioni 5”