Habari

Waziri Masauni akutana na balozi wa Urusi nchini

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kulia), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisoma nyaraka ya masuala ya ushirikiano kati ya Tanzania na Urusi wakati alipokuwa akionyeshwa na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kulia), katika mazungumzo yao yaliyofanyika, jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents