Burudani

WCB yatoa ofa kwa wasanii wao kutangaza Wasafi TV (Video)

Wasanii wa label ya WCB wameambiwa kama kuna masanii ana kipaji cha kutangaza basi atapewa nafasi ya kuonyesha kitu anachokifanya. Wasanii hao wamesema hayo Jumatano hii katika kituo kimoja cha redio nchini Kenya na kudai kwamba wao kama wasanii wameona ni bora watoe nafasi kwa vijana wengine na wao waendelee na muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents