Siasa

Wizara ya Katiba yaomba Bil. 272 bajeti ya 2022/2023

Wizara ya Katiba na Sheria imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi bilioni 272.7 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Kati ya Fedha hizo, Shilingi bilioni 207.7 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 65 ni kwa ajili ya matumizi ya miradi ya maendeleo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents