Burudani

Z Anto aeleza jinsi alivyomshusha Alikiba na Matonya na kuwaongoza (Video)

Msanii wa muziki, Z Anto ameachia wimbo wake mpya ‘Kacheze Unakochezaga’ na kueleza kuwa wimbo huo huwenda ukafanya mambo makubwa na kuushangaza ulimwengu. Muimbaji huyo amedai kipindi cha nyuma aliweza kuwashusha Alikiba na Matonya na kuwaongoza katika playlist mbalimbali za vituo vya redio na runinga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents