Chris Brown ni baba wa mtoto mwenye miezi 9!

Chris Brown ni baba.

0303-chris-brown-w-babya-4_zpsrxgkfrb7

Kwa mujibu wa TMZ, muimbaji huyo wa R&B ana mtoto wa kike mwenye umri wa miezi tisa.

Mama wa mtoto huyo ni model wa zamani mwenye miaka 31 aitwaye Nia, ambaye amemfahamu Chris kwa miaka mingi. Nia na Chris wanadaiwa kuwa na maelewano lakini hawana uhusiano.

TMZ imedai kuwa Breezy anafurahia kuwa baba.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW