Habari

EPL: Manchester City Premier League Champions!


Baada ya kusubiri miaka 44 na dakika 94 hatimae wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza! Walinusurika baada ya QPR kuongoza 2-1 daika ya 90, lakini ndani ya dakika 5 za nyongeza waliweza kusawazisha na kuongeza bao la ushindi, na kutwaa ubingwa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents