Jux awa msanii wa kwanza kupata tuzo baada ya albamu ya ‘The Love’ kufikisha streams 1,000,000 (Video)

Msanii wa muziki @juma_jux wiki hii amepokea tuzo baada ya albamu yake ya The Love Albam kupata streams 1,000,000 kupitia platform ya muziki ya BoomPlay.

View this post on Instagram

JUX AMEKUWA MSANII WA KWANZA KUPATA TUZO BAADA YA ALBAMU YA ‘THE LOVE ALBAM’ KUFIKISHA VIEWS 1,000,000. Msanii wa muziki @juma_jux wiki hii amepokea tuzo baada ya albamu yake ya The Love Albam kupata streams 1,000,000 kupitia platform ya muziki ya BoomPlay. Muimbaji huyo ameandika ujumbe huu “Nawashukuru sana mashabiki zangu kwa kuendelea kuonyesha upendo kwa kusikiliza albamu yangu ya kwanza, "The Love Album" mpaka kufikisha streams 1,000,000 kwenye app ya Boomplay. Naishukuru pia timu yangu iliyokuwa nami kipindi chote toka nilipokuwa na wazo tu la kufanya albamu mpaka kuwa albamu iliyopata mafanikio mengi. Nawashukuru sana na nitaendelea kuwapa kazi bora,” Written and edited by @yasiningitu

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

Muimbaji huyo ameandika ujumbe huu “Nawashukuru sana mashabiki zangu kwa kuendelea kuonyesha upendo kwa kusikiliza albamu yangu ya kwanza, “The Love Album” mpaka kufikisha streams 1,000,000 kwenye app ya Boomplay. Naishukuru pia timu yangu iliyokuwa nami kipindi chote toka nilipokuwa na wazo tu la kufanya albamu mpaka kuwa albamu iliyopata mafanikio mengi. Nawashukuru sana na nitaendelea kuwapa kazi bora,”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW