Burudani

Lamata aja na Mapinduzi makubwa (Video)

Katika kukuza Sekta ya filamu Nchini Mkurugenzi wa Lamata Village @lamataleah ameshiriki na wasanii pamoja na mastaa mbalimbali kuzindua Tamthilia yao mpya iliyopewa jina la Ezra ambayo itaruka Redioni

Tazama alivyowatambulisha wasanii walioshiriki akiwemo @hemedyphd pamoja na wasanii wengine wakali

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents