Uncategorized

Linex aachia video ya ‘Too Late’ akiwa na Lady Jaydee, wadau wasema ni wimbo bora wa mwaka (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linex ameachia video ya wimbo wake mpya wa Too Late aliomshirikisha Lady Jaydee. Kichupa kimeongozwa na Director Ivan, Tazama hapa chini

Video ya Wimbo umeleta hisia tofauti tofauti kwa mashabiki wa Linex, ambapo wengi wao kupitia comments kwenye mitandao ya kijamii wameutaja wimbo huo kama Come back ya Linex na ni moja wa nyimbo bora kwa mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents