Aisee DSTV!

Mfahamu Mtanzania anaetembea na majani mwilini ‘Sijavaa nguo yoyote ndani, haya ndiyo maisha yangu’ (+video)

Dada mmoja aliyejulikana kwa jina la Agnes ameonekana akiwa amevalia vazi la majani katika mwili wake huku akisema kuwa yeye ni mbunifu wa mavazi na kuthibitisha kuwa licha ya kuvaa majani hayo ndani yake hakuna nguo yoyote aliyovaa na hayo ni maisha yake ambayo anaishi.

Related Articles

7 Comments

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW