Burudani

Migos wajiachia na ‘Stir Fry’ baada ya ‘MotorSport’

Kundi la muziki la Migos (Quavo, Offset, na Takeoff) wameachia audio ya ngoma yao mpya iitwayo ‘Stir Fry’. Audio ya ngoma hii imetoka ikiwa ni wiki chache toka waachia ngoma ya ‘MotorSport’ iliyowakutanisha Nicki Minaj na Cardi B. Ngoma hizo zitapatikana katika albamu yao ya ‘Culture II’. Isikilize ngoma hiyo hapa.

https://youtu.be/RHUxyXZBXY8

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents