Burudani

Rihanna amuita Chris Brown ‘baby’ Je! Wamerudiana?

Chris Brown anatarajia kurudi mahakamani mwezi November mwaka huu ambapo mahakama itatoa taarifa ya jinsi msanii huyo anavyoendelea na kifungo chake cha nje na kazi za jamii.

Hata hivyo mpaka sasa bado hajavunja masharti aliyopewa.

Hivyo, Rihanna ameonesha kuwa yuko pamoja na mpenzi wake huyo wa zamani na kwamba humkumbuka kwenye sala zake kupitia tweets mbili alizomuandikia jana.


Kwa namna alivyoandika tweet hizo na kitendo cha kumuita Chris ‘baby’ tayari watu wameanza kuhisi huenda wakawa wamerudiana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents