Michezo

Shuhudia wachezaji wa Simba walichomfanya mchezaji mwenzao Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ kwenye birthday yake (+Video)

Shuhudia wachezaji wa Simba,Kichuya na Manula walichomfanya Mohamed Hussein kwenye birthday yake (+Video)

Novemba mosi ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mchezaji wa klabu ya Simba Mohamed Hussein kwa jina la utani Tshabalala,beki kisiki wa upande wa kushoto na ndio kapteni wa klabu hiyo lakini pia mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars.

Katika siku yake hiyo maalumu ya kuzaliwa aliweza kusherehekea na wachezaji wenzake wa Simba kwa staili ya aina yake, wachezaji wa simba wamesherehekea na wenziwe wakiwa na furaha ya aina yake na kuweza kumfanyia vituko mbalimbali ambavyo vitamfanya mchezaji huyu aendelee kuikumbuka siku hii.

Imeonesha jinsi gani hawa wachezaji wa simba walivyona ushirikiano wa hali ya juu ndani na hata nje ya uwanja,miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakimtania mchezaji huyu ni pamoja na Bocco, Manula, Kichuya pamoja na Ndemla.

Shuhudia video hii:-

By Ally Juma,

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents