Burudani

Tanzania nafasi ya tatu Afrika kwa warembo zaidi

Kwa mujibu wa Jarida maarufu barani Afrika la African Fact Zone limetoa orodha ya mataifa 15 barani Afrika yenye wanawake warembo zaidi.

Katika Mataifa hayo Ethiopia ipo nafasi ya kwanza huku nafasi ya pili ni Nigeria na Nafasi ya tatu ni Tanzania.

Baashi ya vigezo wanavyotumia ambavyo bimekuwa vikiandikwa na majarida mbalimbali ni pamoja na kuendelea kuiwakilisha asili ya Muafrika kwa ngozi zao za asili bila kutumia vipodozi vya kubadilisha ngozi zao.

Lakini pia kigezo cha pili ni Muonekano (shape) inayovutia pasina kubadili muonekano kufanya Surgery.

Mataifa mengi kwa sasa barani Afrika na duniani kote yamekuwa yakionyesha namna wanawake wanavyofanya Surgery ya kubadili mionekano yao, kubadili Shape zao.

Tanzania imeshika nafasi ya tatu kwa vigezo vingi ikiwemo hivyo lakini pia wanawake wa Tanzania wakionekana kutokubali mionekano yao sana tofauti na mataifa mengine.

Je ni kweli Wanawake wa Kitanzania bado hawana ujanja wa kufanya Surgery sana??

Orodha kalimi hii hapa chini.

1. Ethiopia
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Kenya
5. South Africa
6. Ghana
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Congo
10. Cote d’Ivoire
11. Rwanda
12. Somalia
13. Morocco
14. Namibia
15. Cameroon

 

Imeandaliwa na el_mando_tz

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents