Shinda na SIM Account

WCB wanasema wamekodi mjengo, Dalali anasema wanenunua (Video)

Kumezuka sitofahamu juu ya mjengo mpya ambao WCB wameutambulisha kama ni makao makuu ya ofisi zao.

Mmoja kati ya mameneja wa label hiyo, Mkubwa Fella kudai mjengo wa ofisi hiyo umekodiwa na sio mali ya WCB.

Hayo yametokea baada kuibuka dalali anayedaiwa kuwa ni dadali wa Diamond na kuibuka kwa kusema kwamba nyumba hiyo, Diamond ni mali ya muimbaji huyo na ina thamani ya bilioni 1.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW