Mahojiano

20 Percent: Harmonize na Rayvanny wanajua kuandika, wapo wanaojua kuimba tu kuandika hawajui (+ Video)

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva 20 Percent amemtaja msanii bora kwa sasa nchini Tanzania na kueleza kuwa ingawa pia Harmonize na Rayvanny wanajua sana kuandika muziki mzuri.

20 Percent pia ameeleza kusikitishwa na wasanii wa Bongo Fleva kufurahi na kuona kama jambo jema pale anapotaarifiwa kuwa wimbo wake umefungiwa ” Kwa sasa msanii anafurahi akisikia wimbo wake umefungiwa na BASATA wengine wanaandika matusi ili wimbo ufungiwe nasgangaa sana.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents