Burudani

Picha: Diddy na Jay Z waing’arisha show ya Bad Boy Family

Jay Z na rafiki yake wa muda mrefu Sean ‘Puff Daddy’ Combs kwa pamoja walionekana katika show ya ziara ya Bad Boy Family mjini Brooklyn, Marekani.

2-3

Show hiyo imefanyika Brooklyn nyumbani kwa Jay Z ambapo Diddy alimuita Hov katika stage ‘Kaka Yangu’ wakati anamtambulisha aje kufanya naye show. Bad Boy walikuwa wakisherekea miaka 20 kwenye muziki.

3-2

3473EFCE00000578-3602925-image-m-51_1463877726793

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents