Burudani

Kuna wimbo mpya unakuja tumefanya MJ Records – Beka Tittle

Member wa kundi la B.O.B Micharazo, Beka Tittle amesema muda siyo mrefu wataachia wimbo wao mpya kutoka studio ya MJ Records.

beka

Hivi karibuni mambo yalionekana kuwa tofauti kati ya Mr Blue, Sugu na uongozi wa Mj Records hali iliyozua maswali ya kuvunjika kwa urafiki uliopo kati ya kundi la B.O.B Mcharazo na mtayarishaji wa muziki Marco Chali.

Akiongea na Bongo5, Beka Tittle amesema kuwa muda siyo mrefu watAachia wimbo wao mpya kutoka studio ya Mj Records.

“Soon tutaachia wimbo mpya kutoka B.O.B Micharazo, ndio tupo njiani kufanya hivyo. Tena kutoka hapo hapo kwenye studio ya Mj Records,” alisema Beka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents