Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa chini na kuzungumza na producer na muimbaji wa kundi la Just A Band la Kenya, Blinky Bill.
Alinielezea kuhusu kundi lake na uamuzi wao wa kuanza kufanya kazi za solo huku wakiwa wameshatoa album tatu hadi sasa.
Mtazame zaidi hapo akielezea mipango yake mipya.