Videos
New Video: Tekno – Yawa
Tekno ameendelea kudondosha ngoma mpya kila kukicha. Baada ya ‘Rara’ kuiachia wiki iliyopita, muimbaji huyo ameachia video nyingine mpya ‘Yawa’.