Muziki
Lil Wayne ameleta ‘Big Bad Wolf’, sikiliza hapa
Lil Wayne amekujia tena. Msanii huyo wakai anajitayarisha kuachia mixtape yake iitwayo ‘Dedication 6’ ameachia ngoma yake mpya ‘Big Bad Wolf’ yenye urefu wa dakika 4 na sekunde 7.
Miongoni mwa mistari ambayo rapper huyo amechana kwenye ngoma hiyo, inasema, “When the shit get ugly, I go Pretty Ricky. I don’t fuck with rats, neither Minnie, Mickey / I don’t fuck with cops, that’s the piggly wiggly / Fuck my bitch’s friends and they friendly friendly.”
Sikiliza wimbo huo hapa chini.