Burudani
Msanii Shelida atokea kulizimia penzi la Country Boy, afunguka ‘Ruby anapayuka sana’ (Video)
Msanii wa muziki wa BongoFleva ambaye ni zao la THT, Shelida amefunguka kuweka wazi namna anavyomkubali rapa Country Boy huku akidai yupo tayari kwa lolote kwa msanii huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Wanaona Haya’ akiwa amemshirikisha Khaligraph Jones & S2kizzy.